Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

Wanaopenda hizo faida wamekuelewa ila kwa mm Single boy, hizo faida hazinifai.
Labda kwa wale walioko Dsm
 
Yaani mimi ndo nilijizoeshaga vibaya... Nalala uchi naamka uchi na kushinda uchi mpaka nikitaka kutoka ndo navaa, nikirudi navua nguo zote na kubaki uchi... [emoji85][emoji85][emoji85]
Aiseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom