Zijue dalili za mwanamke msaliti katika mahusiano

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,691
2,787
1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati WOTE)

2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui

3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki

4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume

5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe

6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu

7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje

8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe

9) Ni rahisi sana kusema �nipe talaka yangu� inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo
.
10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi

11)akitoka nje anajitahidi kubadilisha mtindo qa nywelevtofauti na alioondoka nao nyumbani

12)muda mwingi anapenda kujipost picha zake ktk mitandao ya kijamii ili mpenzi mpya awe tension na yeye

13) Tendo la ndoa anatoà kwa mashariti pasipo kujali hisia za mwenzake

14)hana matumizi mazuri ya hela hasa unazompa mfano kusuka wiving kichwan la laki 1 wakati nyumba mnadaiwa pango au kuna mambo ya muhimu
 
Daah mkuu naona umeamka na mada chonganishi asubuhi hii?Ila umelenga sana mkuu
 
Hayo yote yanafanywa mme wake ukiwa wap otherwise
Uwe dereva wa malor

Lakin kama utakua unaish nae
Na unavumilia hayo yote ww
Utakua umewekewa limbwata
Co kwa upuuz huo

Kwanz hlo no 7,9 hyo
Yan nampa na kichapo juu
Ataenda kupunzkia hospital
 
Hayo yote yanafanywa mme wake ukiwa wap otherwise
Uwe dereva wa malor

Lakin kama utakua unaish nae
Na unavumilia hayo yote ww
Utakua umewekewa limbwata
Co kwa upuuz huo

Kwanz hlo no 7,9 hyo
Yan nampa na kichapo juu
Ataenda kupunzkia hospital
Utaua mkuu
 
Back
Top Bottom