Zijue dalili za Kichaa

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Tangentiality: hapa mtu unaweza kumuuliza swali ye akajibu kitu tofauti, au kinachohusiana kwa mbali sana

Circumstantiality:hapa mtu anachukua mda mrefu kuliko kawaida katika kujieleza au kujibu swali

Hallucination: hapa mtu hihisi vitu visivyokuwepo, mtu anaweza akahisi anaona watu wanakuja kumchinja wakati
wengine hamuwaoni

Thought broadcasting: hapa mtu anakuwa anahisi watu wengine wanasoma mawazo yake na wanajua anachowaza

Delusions: hapa mtu anakuwa anaamini vitu ambavyo sio kweli

Alogia: hapa mtu anaishiwa maneno ya kusema au wanaita poverty of speech muda mwingi hukaa kimya au hurudia rudia maneno 'echolalia'

Anhedonia: hapa mtu anakosa interest ya vitu ambavyo wengine wanafurahia

Anergy:hapa mtu anakuwa anaishiwa nguvu na kuwa mnyonge, sio wagonjwa wote wanakuwa highhigh
 
Back
Top Bottom