wengi wa watanzania hawapendi kusoma usishangae hata ushauri huu wa kufahamu taratibu za Polisi wasifungue na kubaki kulalamika tu na kuona kama wanaonewa kila kukicha.
Hizi kweli ni sharia na dhahiri lakini wao wenyewe hawazifati hizi sharia na ukitaka kusisitiza kuhusu haki yako basi wanazo sharia ambazo wanaweza kuzitumia kukukomoa tu - kisha kukuachia !!