Zijue Aina za Propaganda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,153
13,223
Bila kupoteza wakati naenda moja kwa moja kwenye mada

Kuna aina kuu tau za propaganda zinazotumiwa na wanasiasa karibu kote duniani hasa Tanzania

  1. White propaganda.. ambapo atakachokuambia mwanasiasa kina ukweli mtupu
  2. Black propaganda hapo ni uwongo mtupu (si mnakumbuka kuna mkuu aoiahidi mvua za kutengenezwa?)
  3. Grey Propaganda happo anachanganya uongo na ukweli.......kama ilivyo kwa rangi ya kijivu ambayo ni mchanganyiko wa Black and white
Kanyaga twende na ujihoji Pinda alitumia propaganda ipi kukwepa hoja ya Zitto

[SIZE=+1]The word "propaganda" has some negative associations; people often associate it with dishonesty and lies. The working definition is, however:[/SIZE]

    1. "[SIZE=+1]Propaganda consists of the planned use of any form of public or mass-produced communication designed to affect the minds and emotions of a given group for a specific purpose, whether military, economic, or political."[/SIZE]
      1. Linebarger, Paul Myron Anthony. 1954. Psychological Warfare, 1954, Combat Forces Press, Washington (p. 39)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom