Zijue aina 10 za mke

Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.

Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Alafu mtoto akiwa anafaulu wanakwambia kafuata kwa baba! ila likiwa bongolala eti kafuata akili ya mama..hahah wanaume Mungu anawaona
 
Alafu mtoto akiwa anafaulu wanakwambia kafuata kwa baba! ila likiwa bongolala eti kafuata akili ya mama..hahah wanaume Mungu anawaona
Umesema kweli kabisa dada ake. Yaani yale mazuri yoote ni yakwao ila yale mabaya ni ya kwetu.

Mungu anawaona kabisa wala sio siri.
 
Kwa nini msiwe malaika kama mwanamke mmeshamfanya jalala.Wakati kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambazo hazifai hata kwa kurumangia.

Uzuri wanawake tumejaliwa uvumilivu mbali na kasoro zote mnazotupa bado tunaendelea kuwa walezi wenu.
Sawa kabisa.
 
Aisee kuwa mwanamke raha sana yaani kila mambo mabaya na mambo mazuri lazima yanakuwa upande wetu.

Hongereni wanaume kwa kuwa sehemu ya malaika mlioko duniani.
Mke ngumi mambo?[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…