Zifuatazo ni dalili za mwanaume asiye na pesa

Bajaji nyingi sana kwenye huu uzi angalia zisije zikagongana
 
DALILI ZA MWANAUME MWENYE PESA

1. Kila siku appointment zake yeye Hotels kubwakubwa za nyota nne au tano kama Holiday inn, Kilimanjaro Hotels n.k,... Beach unachagua wewe ya wapi mikadi, mbalamwezi beach n.k

2.Siku ukiwa unaenda kwake anakwambia umjulishe kabla haujafika ili kama ana mchepuko mwingine autimue, Anajiamini kwasababu anakila kitu ndani Gheto lake limeshamiri vitu vya thamani na ukikarbia tu anakuagizia bajaji ili uje akugeged vizuri.

3. ukiwa unataka kwenda kwake anaweza akakuagizia hata tax gharama 35,000-50,000 ilimradi tu ukija ukugegede na tamaa zako.

4.ukiwa unaondoka kwake anakusindikiza hadi kituo cha tax anakukodia tax uondoke, Ukiondoka tu anapiga simu kwa mwingine anamwabia na yeye achukue tax aje wagegedane.

5.ukimwambia Umefulia anakupa pesa zaidi ya ulizo ziomba na wewe unafurahia kwa tamaa zako!! Kumbe anakuunguza bila wewe kujijua..

6.Mkiwa mko mahali hatulii,utamwona anachati sana (ujue anachati na michepuko mingine tena mizuri mikali zaidi yako)...., Mara uamwona macho kulia mara kushoto (ujue anaangalia madem wapya ambao hajatembea nao)

7.Kila mkienda kula restaurant anakwambia agiza chakula unachotaka mama,.. Yeye anaweza asile akanunu mvinyo wa gharama akawa anshushia taratiiibu ilimradi kukudatisha...., au akaagiza chakula cha kishua (Ndizi mbili za kuchemsha na Kuku mzima) alafu akala kidogo na kusema kashiba ilimradi kukuzuzua na TAMAA ZAKO ZA kutaka PESA

8. Kama mpo mtandao tofauti na yeye wala haimzuzui anakuoigia mnaongea weee hadi utakata wewe, (Ujue line hiyo ni spesho kwa ajili yako, ana line nyingine zaidi ya tatu kwaajili ya michepuko mingine)

9.Huwa hana muda wa kuzungumza kuhusu kupanga maisha na wewe, yeye akikutana na wewe ni LUXURY tu kuponda raha, kugegedana basi Kwani ndicho anachokitaka kwako....

10. Ukikaa nae hakupi malengo yake juu yako wala cha ndoa wala cha nini.....! na akidumu sana sana na wewe basi ujue miezi sita! KUBWA NA BAYA ZAIDI AKIKUKOSAKOSA BASI UJUE UTAPATWA MAGONJWA YA ZINAA KAMA SIO UKIMWI KABISA.

Kuweni makini Madada wanaume wasio na pesa wengi wana kaupendo ka kweli.

Wanaume maskini wenzangu Oyeeeeee....!!!

Ha ha ha usijipooze machungu
 
Umenena ila cjapenda unapodharau house girl kwan co watu? Hawafai kuolewa? Acha dharau mwisho wa cku hata mwanao anaweza kuwa house girl tuache dharau!!!
 
Nafanyaga hayo mambo kwa wale "mademu" wa kawaida.. si unajua resources chache lazima zitumike vizuri

#Hizi Mvu na Foleni Zimeharibu kabisa bajeti zangu
 
Mjumbe hauwawi..naileta kama ilivyo

1. Kila siku appointment zake yeye ni gheto kwake au anang'ang'ania kuja kwako, hakuna hata kwenda beach wala hotelin.

2. Siku ukiwa unaenda kwake, anakwambia njoo kwenye saa tisa au kumi. Ujue amekadiria hiyo mida utakuwa umeshapata lunch.

3. Ukiwa unaenda kwake hasemi ukikaribia nishtue nitoke kukupokea, ujue anaogopa akifika kabla yako itabidi alipie bajaji.

4. Ukiwa unaondoka kwake anasema sijisikii vizuri kwahiyo siwezi kukusindikiza, ujue anaogopa unapopanda bajaji itabidi akulipie.

5. Ukimwambia umefulia, anakwambia "pole mpenzi ndio maisha hayo" ujue hana cha kukupa.

6. Mkiwa mpo mahali inabidi kila mtu aondoke peke yake ukasikia anasema mi ntapanda bajaji pale mbele kuna sehemu napitia, ujue hana hela anaenda kupanda daladala.

7. Kila mkienda kula restaurant jamaa anasema "mi nimetoka kula sio mda njaa haiumi" haagizi hata maji ya kunywa ujue jamaa hana kitu.

8. Kama upo mtandao tofauti na yeye kila siku ye anatuma tu sms, siku akitaka kupiga simu anakwambia "weka line ya tigo tuongee" ujue hana kitu huyo.
9. Ukiona anasisitiza kwamba hapendi wanawake wanaopenda vitu vya gharama kama simu n.k, ujue kaishiwa huyo akaoe ma house girl.

10.Ukiona kila siku ukikaa nae anakupa wosia kwamba mapenzi sio pesa, ujue hana kitu huyo.

kumbe kaishiwa sio mbahili bhn
 
Nimezingatia kitu kimoja msisitizo kwenye BAJAJ, hili laweza kuwa tukio la kweli kabisa
 
Kahaba Mkubwa weeeeee!!! very poor brain!!! hapo unaelimisha au unachochea michepuko?? hayo kawafundishe watoto wako nyumbani. hapo nimekukemea kwa Jina La Yesu
 
acheni utani ngono daslam ina garama kubwa sana,labda uwe unafanya kwa wiki mara moja tena na mpenzi mmoja yule yule ambae unaweza kumpeleka hotel mwisho wa wiki hasa kama kipato chako ni cha kawaida.
vinginevyo appointment nyngi lazima ziwe geto

Kichwa Ndio Mtu...umesema kweli mtu...nimeshindwa kujenga hivi hivi najiona.. masai dada shahidi nilivyo Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
kuwa na Pesa labda uwe na kama dollar ngapi ktk account???
Maana nahofia unaweza ukawa na millioni 5 ktk account halafu na wewe unasema una pesa, mimi nadhani wenye pesa Bongo wapo wachache sana.
 
Akiwa anakuja geto kwako ukmwambia nchukulie hata sabuni dukan uje nayo atakuulza inauzwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom