KUJUA KAMA SIMU YAKO YA MKONONI KAMA NI SI FEKI

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
880
1,098
1. Jinsi ya kucheki IMEI(International Mobile Equipment Identity) feki za simu za kichina

Ujue IMEI namba ni muhimu sana kwa security ya simu yako pindi inapoibiwa. Sasa hapa bongo kunaa mobile nyingi sana za kichina zinaingia. Kwa dunia ya sasa nyingi(za kichina) zisizo au zilizo na wrong IMEI namba zinapigwa ban kwenye baadi ya nchi ikiwepo india.
Mwenye Mchina brandi za Alkatel, Sigmatel, Spice, Carboonn wanatoa valid IMEI namba, na ukitaka kujua IMEI yako ni fake au correct basi fanya yafuatayo:
-Bofya *#06# katika handset yako halafu ziandike digit 15 za IMEI namba yako pembeni
-Nenda sehemu ya message halafu ziandike zile digit 15 za IMEI namba yako
-Tuma hiyo msg kwenda namba 53232
-Kama msg yako reply ikija “success” so IMEI namba yako iko pouwa
-Na kama reply ikija “Invalid IMEI” ina maana kwamba IMEI yako haiku pouwa
-You are done

Baadhi ya codes za hizo simu ni kama ifuatavyo:
–Default user code : 1122, 3344, 1234, 5678
–Engineer mode : *#110*01#
–Factory mode : *#987#
–Enable COM port : *#110*01# -> Device -> Set UART -> PS Config -> UART1/115200
–Restore factory settings : *#987*99#
–LCD contrast : *#369#
–Software version : *#800#
–Software version : *#900#
–Set default language : *#0000# Send
–Set English language : *#0044# Send
–Set English language (new firmware) : *#001# Send

2. Baadhi ya Nokia Mobile Phone secret codes

*#06# kucheki IMEI namba *#7780# kureset settings za kiwandani kama simu yako inazingua *#0000# kuangalia software version *#2820# Kuangalia address ya Bluetooth *#746025625# Kuruhusu status ya Sim clock#pw+1234567890+1# Kuonyesha kama simcard yako ipo restricted au vipi

*#92702689# Hii namba inakupeleka kwenye menu yenye information zifuatazo

• Kudisplay serial namba ya simu yako • Kudisplay mwezi na mwaka wa matengenezo ya simu yako • Inadisplay tarehe simu simu yako iliponunuliwa(kama ipo)• Inadisplay tarehe ya mwisho walivyoifanyia repair • Inaonyesha “life timer” ya simu yako

*#3370# - Enhanced Full Rate Codec (EFR) activation. Hii mara nyingi inaongeza signal strength na better signal reception. Vilevile inasaidia sana kama unataka kutumia GPRS na kama service hiyo hairespond au iko mwendo wa kobe(slow). Vilevile inaongeza betri ya simu
*#3370* - (EFR) deactivation ya hiyo huduma ya juu


*#4720# - Half Rate Codec activation. *#7328748263373738# Hii namba ina-resets security code kama ikizingua. Default security code mara nyingi ni 12345 3.

Hope tuko pamoja wanajamvi wenzangu.. Ukiona ndefu kusoma kacheze kidalipooo na mwenzako
 
Back
Top Bottom