Yule malaika mkuu ametutaka tuwe wajasiri sana wakati huu wa kila asubuhi kukutana na TANZIAHivi siku za maombolezo zimekwisha🤔!?
received with thanksSababu ya uke kutoa sauti/ kujamba ni kwa sababu ya uwepo wa hewa ndani ya uke.Iko hivi,wakati watu wanafanya mapenzi hewa huweza kuingia na kutoka ukeni.Hewa huweza kuingia ukeni kwa njia zifuatazo:..
Aisee.... 👍Wakati unapump dick kuna hewa inangia kwenye vagina then later on inatoka kwa sauti kwa kizungu wanaita "Queefing" na sio kujamba/fart kama unavyosema. Ni kitu cha kawaida, haina uhusiano wowote na ulichokiandika. Kwa kifupi umeingia chaka mkuu.
Huyo ni wa tiba mbadala anafanya matangazo.Utafiti hewa!
Uke kujamba inategemeana na style aliyokaa mwanamke wakati akiwa mwenyewe, akiwa kwenye shughuli ya mapenzi au vingine vyovyote!.... Hakuna uhusiano wowote na hoja yako labda kama una jambo lako...
Maada zinazoletwa jukwaani mkuu!Kwanini mkuu??