Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,432
- 2,629
Habar wakuu,
Ikumbukwe mwanzoni mwa utawala huu wa awamu ya tano wa serikali ya JPM..kulikuwa na ziara mbalimbal za kustukiza kweny sekta mbalmbal za umma..kinara wa ziara hizi alikuwa rais Magufuli pia wateule wake pia hawakwepo nyuma..yaani Mawaziri pia nao walikuwa wanafanya ziara za kustukiza..lakini ghafla bin vuu!,ziara za kustukiza zimepotea ghafla..nini kimetokea mpaka ziara hizi kupotea au ilikuwa nguvu ya soda