Ziara ya Zitto Kabwe: Akutana na Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi

Watu wameumia saana; kwa kulipiza wamewa-procure watano dadadeki.

Sasa hapa wachambuzi wangu nani mjanja.
 
Hii inadhihirisha kuwa wao hawana watu makini ndiyo maana wameamua kufanya biashara ya utumwa
Watu wameumia saana; kwa kulipiza wamewa-procure watano dadadeki.

Sasa hapa wachambuzi wangu nani mjanja.

In God we Trust
 
Hii picha naamini kuna watu wakiitazama wanatamani waruke na mbawa zao wafike kwa mabeberu wamchane chane mh Zitto.

Kumbukeni kuwa Zitto ni kiongozi mpenda demokrasia hivyo mwacheni afanye yake kama kiongozi.

View attachment 1353551

Sent using Jamii Forums mobile app

Du. Sasa wewe mwanasiasa wako kwenda kupiga picha. Narudia kupiga picha. Narudia tena kupiga picha na Spika wa Marekani. Kumezalisha nini. Unadhani historia itabadilika. Be aware of kiatu cha mgiriki.
 
Imekuuma sana kiasi umeamua kuifungulia uzi, dadeeeki waramba viatu mnateseka sana
Du. Sasa wewe mwanasiasa wako kwenda kupiga picha. Narudia kupiga picha. Narudia tena kupiga picha na Spika wa Marekani. Kumezalisha nini. Unadhani historia itabadilika. Be aware of kiatu cha mgiriki.

In God we Trust
 
Ukisikia mugambo wanaruka na kukanyagana ndo huku sasa! Kuna jamaangu wa praise ameangalia hii picha ghafla ugiligili unaanza kumtoka. Amekwenda haja sasa ni lisaa la pili hajarudi. Sijui atakuwa ameenda kujifungua!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukeni kuwa Zitto ni kiongozi mpenda demokrasia hivyo mwacheni afanye yake kama kiongozi.
Zitto yupi huyo mpenda demokrasi?ni yule aliefukuzwa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo kwa usaliti au Zitto aytollah wa ACT Wazalendo?
 
Kufukuzwa na kupenda au kuwa mwana dipromasia havihusiani, tafuta jingine mwache Zitto awanyooshe ili muwe na akili
Zitto yupi huyo mpenda demokrasi?ni yule aliefukuzwa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo kwa usaliti au Zitto aytollah wa ACT Wazalendo?
Screenshot_20200210-184310.jpeg

In God we Trust
 
Back
Top Bottom