Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
Air Force One kabla haijatua Qatar, ilisindikizwa na F-15 za Qatar.
Walipotua, msafara wa magari uliongozwa na Cybertrucks nyekundu.
Ongezea na askari waliopanda ngamia.
Hawa Qatar naona wanamjua vizuri Trump maana hayo ndo mambo anayoyapenda.
Ukiongeza na lile dege wanalotaka kumpa bure, hawa Qatar wana lao jambo.
Hawafanyi haya mambo yote bila kutegemea chochote toka kwa Trump!
View: https://youtu.be/OSgYXH3Ra7g?si=IEwoXt4e3aQiXGuE