Ziara ya Slaa Kigoma na Tabora ina tija kipindi hiki?

acheni upumbavu ninyi. Haipo chadema kama mtaendeleza upumbavu wa kuwaziba watu midomo na fikra. Tunahitaji uhuru wa fikra na mawazo. Kama hamjui huu ndio mwanzo wa kuanguka kwa Chadema.
 
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...

Cc Mag3
 
Last edited by a moderator:
hamuwezi kuthubutu, Kigoma SLAA alipata 40% mwaka 2010 ikilinganishwa na Kilimanjaro 5%-alichokuwa akikifanya SLAA ilikuwa kutest zari akidhani Waha ni wajinga na Kahama ilikuwa danganya toto-walimtuma ilikujua REACTION ya watu wa Kigoma ili iwasidie kufanya maamuzi dhidi za ZZK, sasa ujumbe wetu kwa CC ya CDM ndio huo anapewaa SLAA kwa kipondo-mfukuzeni kama hamjipendi WA KANDA ninyi

MKUU NILISUBIRI KWANZA UONE MOTO WA DR Slaa ndo nikujibu, Bado una la kuzungumza au majibu umesayapata tayari? ceza na DR wewe !!!
 
mmeona ziara ya doctar sraa zina tofautigani na zaraisi ambaye ali aidi mambo kibao kwa wananchi na ajayatekereza na bado ana kwenda
 
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...

Cc Mag3


Mkuu kweli Slaa leo watu wanamrushia mawe tena kwenye mkoa alikopata kura nyingi,hapa ni kukosa busara kwa viongozi wetu,Alifikiri anaenda kumkomoa Zitto lakini ndio kwanza anaandika historia na huu ndio mwanzo wa mwisho wake
 
Mkuu kweli Slaa leo watu wanamrushia mawe tena kwenye mkoa alikopata kura nyingi,hapa ni kukosa busara kwa viongozi wetu,Alifikiri anaenda kumkomoa Zitto lakini ndio kwanza anaandika historia na huu ndio mwanzo wa mwisho wake

Slaa mbishi sana.

Alisahuri wa viongozi wa chadema mkoa asiende Kigomo, yeye akabisha.

Polisi wamemshauri akatishe ziara yake.
 
ZIARA YA SLAA NA MBOWE NI UOGA DHIDI YA DEMOKRASIA NA UDHAIFU WAO WA CHUKI DHIDI YA ZITTO NA WENZAKE,WAO WANAAMINI MIKOA WANAYOFANZA ZIARA NDIO ZITTO ANAKUBALIKA SIO KWELI ZITTO ANAKUBALIKA NCHI NZIMA NADHANI WAO WANAKUMBUKA WALIVYOWATUMA GRACE KIHWELU,MNYIKA NA MREMA KUTAFUTA KURA ZA KUKOSA IMANI NA ZITTO KWA WENYEVITI WA MIKOA MAJIBU WALIYOYAPATA NI KUWA ZITTO NDIO CHAGUO LETU 2015!KINACHOSIKITISHA ZAIDI WANABEBA RAIA WAHUDHURIE MIKUTANO NA KUTOA MAFUTA KWA BODABODA ILI WAFANYE MAPOKEZI,HAITOSHI WANATENGENEZA PICHA ZA KUTUHADAA WAMEPATA WATU WENGI KWENYE MIKUTANO HIYO.INATAKIWA TUWAAMBIE TUNATAKA MAJIBU JUU YA HOJA ZILIZOTOLEWA NDANI YA WARAKA WANAOITA WA UHAINI NA SIO KUTUELEZA NAMNA WAO WALIVOWEKEZA NDANI YA CHAMA?TUMUULIZE JE ULIWEKEZA AU ULISAIDIA?TUNAKUOMBEA ZITTO MAISHA MAREFU UJE UWASEMEE WANACHAMA NA WATANZANIA NA SIO HAWA WAWEKEZAJI WANAOHOFIA MASLAHI YAO.
Ndimi Hansen Nasli
 
Mkuu mbowe, dr slaa tuachieni chadema yetu msije mkaiua. Mnekiuka katiba kwa maslai yenu. Mmetumia kifungu gani kumvua madaraka zito kwa kikao cha cc, kwani zito hakuchaguliwa na cc alichaguliwa na baraza kuu huyo lisu sio mwasheria ndio anaowapotosha.
 
Mkuu mbowe, dr slaa tuachieni chadema yetu msije mkaiua. Mmekiuka katiba kwa maslai yenu. Mmetumia kifungu gani kumvua madaraka zito kwa kikao cha cc, kwani zito hakuchaguliwa na cc alichaguliwa na baraza kuu huyo lisu sio mwasheria ndio anaowapotosha.
 
Nyie ni wehu mnapingana na ukweli wa mambo angalieni mikutano yao ilivyofana na ulinganishe na mikutano ya kinana na Nape hovyo
 
CHADEMA wanakodi watu wakuja kwenye mikutano!tunakoeleka ni kugumu zaidi,tunakodi waandisha wa habari wa kuandika propaganda?Yote haya ni baadhi tu ya matumizi babaya ya pesa ya Dr slaa.Ole wake mtu aoji ,kila jina baya utaitwa

Si lazima ujivue nguo zote ili ukojoe!
Hii tabia inajulikana ni ya nani hapa TZ!
Kuihusisha CHADEMA na upuuzi wa namna hii ni kujidhalilisha maana tunajua mengi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom