Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Anafungua nchi hata visivyotakiwa kuingia viingie?Mama Samia anafungua Nchi kitu ambacho ni kizuri Watu wenye mawazo ya Ujamaa jinyongeni
Wewe miaka yote gesi uliifanyia nini?Mwanamke huongozwa na mwanaume! Eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion, kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi
Sheria zipo, Mama aifungue Nchi watu wapige kazi Ujinga pembeniAnafungua nchi hata visivyotakiwa kuingia viingie?
Ni kwamba hujui matumizi ya ges ua?Wewe miaka yote gesi uliifanyia nini?
Nahisi ajuiNi kwamba hujui matumizi ya ges ua??
Sheria zipo Mama afungue Nchi watu wapige kazi Ujinga pembeni
Watu gani Sasa wakati fursa anazigawa kwa jiraniSheria zipo Mama afungue Nchi watu wapige kazi Ujinga pembeni
Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi duniani asingeweza kuishi mtu.Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao.
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe.
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!
Mkuu ukiangazia Masuala ya Maslahi ya ki-nchi hatutanufaika kwa kusifiwa kuwa na roho nzuri, hakuna tuzo za hivyo.Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Jibu wewe uliifanyia nini? Au unafikiri yote tungetumia sisi bila kutafuta masoko?Ni kwamba hujui matumizi ya ges ua?