Ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya imenifanya nimtafakari mbunge Sugu kwa upya

Kwa ziara hii Magufuli tayari kwa 100% Huyu mnamwita raisi wa mbeya hana chake pale.... Hongera sana mh Rais wangu Dr. John Pombe Magufuli Mungu ajulinde kwa yote
Akili za aina hii huwa mnazaliwa nazo au mnawekewa ukubwani? Hivi CHADEMA/CUF/ACT ni Wakoloni kiasi cha kutamani ccm ambao ni wazawa wawatoe madarakani?
 
Kabudi alikua Malawi na Magufuli. Nini kibaya kuongozana naye toka Malawi hadi Mbeya ktk ziara?Kuna sheria imevunjwa?Hizi ni SIASA KATUNI.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ziara za ndani hazimuhusu.
 
Duuu ila wanasiasa Mungu anawaona . Akitoa point anasikilizia Kama wananchi watashangilia. Wakishangilia mic inakamatwa utadhani nyonyo .
 
Wabunge wa upinzani ni lulu kwenye majimbo yao. Jaribu kuwafuatilia utaona tofauti kubwa na hawa wa ccm. Eti ukiwa ccm lazima uanze na kumsifia rais, halafu unasifia chama cha ccm na baadaye unamalizia kuilaumu serikali ambayo tayari umeisifia. Watazame kwa mfano wale wabunge wanaotoka kusini, this time hawskusema kuhusu korosho kwa sababu wanaogopa shangazi zao kukwidwa na dola
 
Sugu pale asahau kabisa, hawezi kamwe kupata kura za kumtosha 2020. Sijui mpaka sasa ngome ya wapinzani ipo wapi maana kila kona wameshindwa, wanazomewa zomewa kweli kweli.
Wapi wamezomewa au kuwapanga mafurushi ya waliovalia majezi ya ccm mbele ili washangilie ndio kuzomea. Ukweli bado unabaki kuwa Mbeya mjini Sugu aliwapiku hawa mavuvuzela wa ccm wa kupewa posho.
 
Mh. Sugu yuleee...kachoma kadi ya..kabeba ya njano na kijani, watu 😩 😭😖
Siasa tuwaachie wenyewe, sisi bendera fuata upepo tu...
 
Pamoja na mapungufu walionayo watu wa Mbeya lakini ukweli watu wa Mbeya wanajitambua,kiufupi elimu ya uraia kwao wameiva.hawaperekeshwi,Kandoro alionjeshwa,JK alionjeshwa ,Magu wakati wa kampeni Alionjeshwa.
Angalia ziara hii ulinz ulivyoimarishwa kila kona helikopta mbili kila siku zipo angani zikisaidia ulinzi.jiwe analazimika kuchagua maneno ya kuwaambia wananchi.tofauti na mikoa mingine anako geuka msema ovyo.
Kufanya vurugu au ubishi wa bangi sio kujitambua by the way ni wahuni wachache wa mbeya na Tunduma ndio walikua wanazingua saizi wameshikishwa adabu kimyaa
 
Kwani ukitoka ziara ya nje ya nchi na Rais ndio lazima uambatane naye ziara za ndani?....... Mbona Kyela hakwenda?!

Wakati mwingine tusijifanye vipofu hata Tulia atatucheka!
Hujui protocol kajifunze, yaani waziri uko na Rais nchi za nje unarudi nae anaanzia mkoani wewe unasema waziri aje moja Kwa moja dar? Hujui Rais anapokuwepo ndio utawala unahamia hapo
 
Sugu pale asahau kabisa, hawezi kamwe kupata kura za kumtosha 2020. Sijui mpaka sasa ngome ya wapinzani ipo wapi maana kila kona wameshindwa, wanazomewa zomewa kweli kweli.
Labda unazomewa wewe na mwenyekiti wako ccm hamna kitu kama huamini subira 2020.
 
Sugu pale asahau kabisa, hawezi kamwe kupata kura za kumtosha 2020. Sijui mpaka sasa ngome ya wapinzani ipo wapi maana kila kona wameshindwa, wanazomewa zomewa kweli kweli.
Wafungueni kamba mlizowafunga mikononi na miguuni muone kivumbi. Ccm bila polisi na Dora ni wepesi kama pamba
 
Back
Top Bottom