Ziara ya Mbowe Karagwe Kagera katika picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziara ya Mbowe Karagwe Kagera katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kaa la Moto, Apr 30, 2009.

 1. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hapa tena nawafungashia baadhi tu ya picha zinazoonyesha ziara ya Mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe inayoendelea katika mkoa wa Kagera na hapa ni wilayani Karagwe.
  Inasemekana huko pia alipata audience kubwa na kuvuna wanachama wengi kama inavyoonekana katika picha hizi kama nilivyozipokea kutoka kwa rafiki yangu.
  Kwa kuwa sikuwapo katika mkutano huo, unaweza kujionea jinsi watu walivyokuwa akigombania kupata kadi zilizosainiwa na Mh Mbowe.

  22190001.jpg

  22190002.jpg

  22190003.jpg

  22190004.jpg

  22190005.jpg

  22190006.jpg

  22190007.jpg

  22190008.jpg

  22190009.jpg

  22190010.jpg

  22190011.jpg

  22190014.jpg

  22190018.jpg

  22190019.jpg

  22190020.jpg

  22190022.jpg

  22190026.jpg

  22190031.jpg
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jamaa anaendelea kuvuna tu
   
 3. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inatia matumaini sana, Mbowe kazana ufike kabisaa kule mabondeni huko ndo watu hawaelewi na ndo mafisadi CCM hutumia pilau kupata kura. Mkifanikisha kurekebisha huko mambo yatakuwa shwari sana. mungu awatie nguvu kuendeleza libeneke la kuwakomboa watanzania mikononi mwa hawa wafyonzaji mambo leo.
   
 4. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mbona huo umati wa watu hatuuoni badala yake ni picha za jukwaani na wajumbe wa msafara wake?

  2010 siyo mbal Chadema wanahitaji kuajiri mtaalamu wa propaganda ili waweze kukampeni sawasawa..
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mazee usiogope.
  Umati ulikuwa tele na kwa kweli nimeletewa picha nyingi ila siwezi kuziweka zote hapa. Net yangu iko slow kidogo. Lakini huu ulikuwa muonjo tu kukupa hamu ya kula kama wafanyavyo katika hotel kubwa kubwa kwa kukupa supu kwanza.
  Mambo ya propaganda huwa ni ya sisi m nahakika chadema wanahitaji kuwa wakweli zaidi ya propaganda tu.
  Ila picha zipo unaweza kuwasiliana nao wenyewe nina hakika watakuwa nazo. Huyu aliyepiga ni freelancer na hana uhusiano nao kabisa.
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ujue watanzania wameisha amka na wamechoshwa na unyonyaji wa wazi wazi, Kinachotakiwa ni wapambanaji wa kweli ambao si mamluki na ambao hawawezi nunuliwa kirahisi, wakisimama tu watanzania wengi tuta waunga mkono!

  Chadema wakiendelea kwa mwendo huu, historia yaweza kubadilika mapema kuliko inavyotegemewa.
   
 7. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Good job CHADEMA
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
Loading...