Ninasikitika saaana na naona aibu kujiita mtanzania,kila nikifikiria baadhi ya mambo najikuta si TZ,eti SPORTPESA wameandaa mashindano na wakatangaza kuwa mshindi wa mashindano hayo atacheza na everton,cha ajabu wenzenu wa KENYA wakajipanga kwelikweli ili waweze kucheza na everton lkn nyie watanzania mkaleta politik matokeo yake leo everton wanacheza na wakenya ndani ya ardhi yenu nyie wenyeji mnabaki kuwa watizamaji,kwa maana ingine wa KENYA wanaona mbali kuliko wa tz,eti kisingizio ni kuwa ligi yenu iliisha na wachezaji wenu wazuri walikuwa timu ya taifa!nikajiuliza hata niyonzima,kamusoko,ngoma,tambwe,chirwa,na mkata umeme (upande wa yanga) wote walikuwa taifa star?maana najua ngoma,kamusoko,tambwe,hawapo timu ya taifa zao,mlishindwaje kujipanga mpaka wa kenya wanawaaibisha mchana kweupe?.mwisho nikajua ndio kumbe maana TZ nzima hakuna kiungo bora kama niyonzima,wala mshambuliaji bora kama okwi,wala kamusoko wala mavugo,na ndio maana wananunuliwa ghali,naamini wote hao wangekuwa wa TZ woote hao wangeitwa taifa star,lkn angalia kule zimbabwe hawana namba,lkn TZ ni mali,
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app