Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.
katika hali ambayo ilitegemewa makamu wa Rais ametua kwa kishindo mbeya huku akilakiwa na umati mkubwa wa watu.
Dr Bilal kaacha Historia Mbeya

mbona sura zao kama wanakamuliwa majipu. wamelazimishwa nini?
naona mnaangaika pole, ndo hivyo katua mbeya kwa kishindo na kasi ya ajabu
Wananchi wanajua cheo cha Makamu wa Raisi ni ceremonial position tu, hana mamlaka ya kufanya wala kuamua lolote katika nchi hivyo kwenda kumsikiliza au kutoa dukuduku zao kwa mtu aliyekuja tu kukata vitambaa ni kupoteza muda!!
Nadhani ifike mahali cheo hiki sasa kifutwe.
Wana mbeya wamempokea kwa kishindo
Sijui nakosea hebu naombeni mnikumbushe...sio huyu alienda kukaa Mbugani kwenye five star hotel akivinhajri na wake zake wawili kwa pesa zetu? Tena sio safari ya siku moja au mbili, alikaa zaidi ya wiki moja kwa pesa ya Mtanzania ambapo waliowengi leo hawajapata salaries....