Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

Hii ni kijiji gani huko mbeya?hapa sio mjini asilani,msitudanye tafadhali.kakusanya waalimu na wanafunzi ndo wamejaa.labda angetembea na Origional Commedy-Masanja mropokaji.

picha za kipindi cha kampeni 2010
 
mmeamua kutuwekea picha za uchaguzi sio??? huyu jamaa siku anavaa suti
 
Hahahaaaa kishindo cha siafu hiki, kwa CDM ni sawa na kishindo cha Katibu wa shina.....msijifariji ujinga hapa
 
picha z kampeni baada ya watu kupewa kofia na tshirts..kama ni ziara ya kiongozi wa nchi kwanini avae nguo za CCM ?
 
Unatufanya sisi watoto wadogo sio?Makamu wa rais umemuona baada ya kuapishwa au ni ndoto za mchana?Hizi ni picha za kampeni wewe unatuletea mambo ya ajabu kwenye JF?Aende Mbeya kuwaeleza nini wanakyusa?hao ni wasomi so hawadanganyiki ht kidogo, jaribu kupost ideas zako kwenye website ya chama chenu na sio hapa.
 

Sasa uranium yetu inashughulikiwa na nani, Labda tumpeleke Sugu na Komba:decision:
 

kwani hii website ya chadema???
 
Hivi huyu jamaa , mbona sijasikia kafanya uamuzi wowote? Hata sauti yake huyu huwa hasikiki kabisa
 
Kutua kwa Kishindo kutasaidia nini?

Kuondosha mgao wa Umeme?
Kupunguza Malipo ya DOWANS?
Kuopunguza mfumuko wa Bei?
Kufanya Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kuwa ya Kimataifa?
Kukamilisha Ujenzi wa uwanja wa Ndege?
Kutatua matatizo ya Wakulima (hasa Mbarali)?

Give me a break!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…