Ujua kuwa kichaa kunaanza taratibu, kama mtu alifatilia taarifa na alikuwapo Mbeya kabla Makamu hajaenda huko safari yake ilitangazwa rasmi nini majukumu yake. Hakuwa na mikutano ya hadhara wala ziara hiyo haikuwa ya maandamano kama CDM mlivyozoea. Ni wakati sasa kabla mtu hujaamka na hoja finyu utafakari kabla ya kuandika maana hapa Pinda kaenda Kagera mmeanza oooh anaenda kufuta cheche za CDM, CDM ni chama cha upinzani na hao ni viongozi kazi yao ni kutazama maendeleo na sio kupiga maneno. MY TAKE: Nawashukuru wananchi wa Mbeya kubakia wakifanya kazi zao za maendeleo maana maendleo hayaji kwa maandamano ama mikutano ya hadhara bali kufanya kazi kwa saa nyingi na kujituma.