Zerooo!

Zerooo!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Siku moja zero alivamiwa na vibaka wakamtaka atoe pesa yote aliyonayo.Zero alikataa kutoa pesa.Wale vibaka wakaamua kutumia nguvu lakini zero alipambana nao kiume.Baada ya kumjeruhi sana hatimaye walifanikiwa kumpora wallet yenye sh.500 ndani.Kwa mshangao mmoja wa wale vibaka akamwuliza zero;Yaani umekubali tukuumize kiasi hicho kwa sababu ya sh.500?!Zero akawajibu;Hapana,nilihofia mngeiona laki mbili niliyoficha kwenye soksi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom