Nimegundua kitu kimoja wale walio na wenza wao ndani either mke or mchumba wanafaidi sana.
Hawana ugwadu na mbunye muda wowote ipo wakiitaji tu wanajipakulia,
Pia ukitoa hiyo kuna kuelevuka kiakili kidogo unajua ukioa Akili inachemka kila wakati ili tu pale nyumbani wasije kulala njaa tofauti na kuwa single.
Zero IQ sasa nimeamua kutafuta mke wa kuoa ili niache ile michezo yangu mbovu mbovu.
ile hela ninayowaongaga wale vimeo kwa Utamu wa siku moja bora nimpe mke wangu nipate utamu wa milele.
Sijui nitapata wapi huyu mke yaweza kuwa kitaani,humu Jf au ata kule kwa wajeda
Jambo la kuzingaia tu ni kwamba sina haja ya bikra yako ninachoitaji ni uwanja huwe safi.
Bila kusahau mkia uwepo ata kwa mbali maana ndio ugonjwa wangu huu sasa sitaki kuoa mke ambae atanifanya nitamani tena vimeo wenye mikia huko nje .
....!