2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Kwangu mimi, Tasnia ya HABARI ni sehemu ya mambo yahusuyo maendeleo katika nchi.
Iwe kwenye mitandao, magazeti, ama TV na radio.
Kitendo cha "Goliath" ku-temper na tasnia hii ni sawa na kuvuruga maendeleo hayo.
Kwakua yanagusa Uhuru wetu na usalama wetu wa kupata habari bila bughudha tena HABARI zisizoivuruga jamii.
Yanagusa furaha na matumaini yetu kama wananchi wa Taifa hili.
Kwa upande mwingine, Vilevile maswala ya Kiongozi kughushi vyeti vya elimu na kujimilikisha Mali za watu kwa njia za intimidations ni maswala yanayogusa moja kwa moja Maisha watu.
Kwangu Mimi naona haya ni sehemu ya kazi na sehemu ya maendeleo ambayo yanafaa sana kujadiliwa, ili tupige Hatua.
Waziri Nape yupo pale ili kusimamia ustawi huo. Otherwise kusingekua na kiti hicho.
Taifa haliwezi kuendelea kwa kufanya wananchi wake wafanye kazi kwa hofu tu. Maendeleo na hofu ni vitu viwili tofauti ambavyo kamwe havichangamani.
Napata shida kuamini kama haya matendo ya Mkuu wa Mkoa yanayotangazwa yana uhusiano wowote na malalamiko ya uchaguzi wa Urais uliofanyika mwaka 2015. Binafsi Sielewi mkuu anahusianishaje?
Ni miaka miwili imeshapita sasa, bado Mkulu yupo Obsessed na Urais wake. Why?!!
Ni ajabu sana kwa mkuu kuhusisha Urais wake na maswala ya daudi bashite.!
Why?
Nawasilisha...