Kiukweli kampein manager wa CCM atakuwa si mzima kichwani yaani kama anamtumia masaburi vile. Anamuharibia magufuli watu watafikiri hiyo order ni ya magufuli. Umaarufu unaongezeka kwa Ukawa.Kura za huruma zitaongezeka sana
Acheni Hizo CCM NI WAMOJA KULIKO WAKATI WOTE ALIKUWA ANALETA LETA MTAFARUKU NA KUTUGAWA NI HUYO MGENI WENU SEMA MSEMAVYO CCM NA DR.MAGUFULI USHINDI HUOOO ANARUDISHA CHAMA KATIKA MISINGI ILIYOASISIWA MBADILIKO YAJA "CHANGE IS COMMING"
Na kwa jinsi wanavuokata umeme kumkomoa jamaa ndio kwanza wanaaakomoa wafuasi wao wenye stationary wanauza barafu....so nao watachoka tu wataona bora ukawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.