Kaishia wapi Kapteni Tesha au zengwe la kututoa kwenye hoja?

Kaishia wapi Kapteni Tesha au zengwe la kututoa kwenye hoja?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,707
1760023996639.png

Baada ya kuja kindakindaki na kutoa tamko kali, yuko wapi Kapteni John Charles Tesha au lilikuwa zengwe la kututoa kwenye hoja muhimu wakati huu wa kuelekea kwenye uchafuzi?

Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa na usanii! Kweli wamejua kutupata na kutupiga changa la macho, Napiga kelele kimya kimya na kuwaza na kufikiri kichinichini.
 
We Talk About Coup d'etat in Africa

View: https://m.youtube.com/watch?v=P9wfyuwwlV4
How do coup d'etats unfold in sub-Saharan Africa? Host Judd Devermont (CSIS Africa Program Director) sits down with experts Naunihal Singh (Naval War College), Max Siollun (Nigerian historian and author), and Alexis Arieff (Congressional Research Service) to discuss the political and intra-military dynamics that shape coups on the continent, and debate the impacts of technology on future military takeovers
 
Back
Top Bottom