and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,306
- 39,850
Kati ya hawa Comedians/Mcs/Watangazaji nani mkali?
Umesema Chiriku au Kirikuu?Zembwela huwezi mfananisha na huyo chiriku
ChirikuUmesema Chiriku au Kirikuu?
Huwa nashangaa tabia zake, zakujichekesha hovyohovyomcpilipili kamzidi zembwela prado, ufupi kujichekesha bila mpangilio
Zaidi flora mbashaKati ya hawa Comedians/Mcs/Watangazaji nani mkali?