Zelensky atembelea Kherson

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dmytro Peskov considers Kherson as the territory of Russia.

"We leave it without comment. You know that this is the territory of the Russian Federation," — Peskov says.
 
Tulikua tunaaminishwa Russia ndo nchi yenye air defense bora kabisa duniani lakini hii vita imetuonyesha hali tofauti,kwenye air defense nako ni dhofuli Hali. Kwasasa nchi yenye air defense bora kabisa ni Israel tu.
Air defense za Israel za kupambana na Hamas na Bado yanapenya
 
Hiyo Kherson ni hatari hapafai kuishi kiumbe chochote mana hiyo ardhi imesukwa vyuma vizito vyenye milipuko ya ajabu, mrusi hakimbii ila anaondoka tu, hapo ni jehanam.
Hao waliopo wanatembea hewani au?
 
Utawaweza pro russia waongo waongo sana na insha ndefu kusifu mandonga .
Si walisema kuna mtego?
Si walisema ni eneo la Russia ?
Imekuaje mandonga kakimbia eneo lake?

haha et mtego
bro trust me ukiona zelensk eneo amelitembelea kabisa jua ndo bas tena huo mda pro russia wakusubir hilo eneo lirud russia ni bora ukatafute shamba ulime matikiti
 
Murusi ametukera Sana Afrika ,, kitendo cha kukamata wafungwa kwa nguvu na kuwapeleka vitani hakikubaliki .

Kijana wa kiafrika kutoka Zambia amekutwa ameuawa na majeshi ya Ukraine ktk uwanja wa vita hii ni aibu kwa Putin.

Kijana huyo ambaye serikali ya Zambia ilielezwa kwamba amafungwa gerezani kwa makosa aliyo kutwa nayo .

Serikali ya Zambia na Afrika kwa ujumla ina hoji imekuwaje kijana huyo maiti yake kuokotwa uwanja wa vita??
 
Avae bullet proof hadi kichwani maana soon kuna snipers watavunja nazi.
 
Zelensiky ni aina ya kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea duniani. Yani kama alivyokuwa shujaa wa Africa, hayati Magufuli vile.
 

Duu, vita ya NATO vs Russia. Hii haijawahi kuwa vita ya Russia dhidi ya Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…