HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,263
- 103,434
Wameruhusu watu binafsi watengenezeZeke Ana viwanda.
200 vya kufanya drones!
Utashuhudia maajabu ya Vita vya drones!
Wameruhusu watu binafsi watengenezeZeke Ana viwanda.
200 vya kufanya drones!
Utashuhudia maajabu ya Vita vya drones!
zele akili tee[emoji298]in a video message on July 30, President Volodymyr Zelensky said that it's natural and fair that the war is returning to Russian territory.
"Ukraine is becoming stronger. The war is gradually returning to Russian territory – to its symbolic centers and military bases, and this is an inevitable, natural, and absolutely fair process," Zelensky said.[emoji298]
Bakhmut wapi nye shida yenu hamsomi hamfanyi utafiti huyo kenge Zele hana chochote yeye ni kama Mpiga Ngoma tu lakini wimbo na Vijiti kalete nakuelekezwa...Jana alikuwa Bakhmut
Haha hizo drone zinarushwa ndani ya Urusi kunawanafiki wamehongwa na US ndio wanarusha hizo drone hapo Mrusi anawatafuta atawanasa tu.Zeke Ana viwanda.
200 vya kufanya drones!
Utashuhudia maajabu ya Vita vya drones!
Hata allah ameagiza![emoji298]in a video message on July 30, President Volodymyr Zelensky said that it's natural and fair that the war is returning to Russian territory.
"Ukraine is becoming stronger. The war is gradually returning to Russian territory – to its symbolic centers and military bases, and this is an inevitable, natural, and absolutely fair process," Zelensky said.[emoji298]
Kwa nchi yenye nguvu za kijeshi na intlijensia kama Urusi,kitendo cha anga lake kupenyezwa na hivyo vidrone na kwenda kivunja hivyo "vioo vinne" kama unavyodai,imeonyesha udhaifu wa Hali ya juu,Ina maana defensive mechanism yao Ina mianya mikubwa sana inayopenyeka,na kama Zellensky na jeshi lake wataendelea kuwa serious makubwa tutayasikia.Hana ùbavu huo. Unatumia ñdege za gharama kwenda kuvunja vioo vinne na ndege kutunguliwa
Anakomaa kama mshumaa huku anateketeaPamoja na hayo nimetokea kumkubali sana Zalensky, anakomaa mwanzo mwisho. Vita ikiisha na nchi ikawa salama, huyu jamaa ajengewe sanamu kubwa km shujaa.
Kwa tulivyoaminishwa kuwa Urusi ina nguvu kijeshi na ni kubwa kuliko Ukraine lkn mpk sasa anayeteketea kama mshumaa kamvimbia mpk sasa. Huu ni mwaka wa ngapi Urusi anakomaa na mshumaa?Anakomaa kama mshumaa huku anateketea
Huwa najiuliza.Kwa nchi yenye nguvu za kijeshi na intlijensia kama Urusi,kitendo cha anga lake kupenyezwa na hivyo vidrone na kwenda kivunja hivyo "vioo vinne" kama unavyodai,imeonyesha udhaifu wa Hali ya juu,Ina maana defensive mechanism yao Ina mianya mikubwa sana inayopenyeka,na kama Zellensky na jeshi lake wataendelea kuwa serious makubwa tutayasikia.
Endelea kujiulizaHuwa najiuliza.
1. Kama jeshi la Urusi lipo vizuri kivita kwanini Putin amekodi kikosi binafsi cha Wagner ambao anawalipa mamilion ya pesa kwa ajili ya vita?.
2. Jeshi lake Putin haliwezi kupigana vita mpk akodi?
Huu ni udhaifu mwingine wa Putin kwa maana hiyo hana mbinu ya kivita. Huu mwaka ukiisha bado bila bila inabidi akafanye mambo mengine
Hakika, Ukraine imechelewa sana.Mtu anapigwa chumbani kwake safi kabisa Zelesky!! hakika ww ni mwanaume wa kweli, kwa Hali ilipofikia ilikuwa hakuna namna maana kama kupigwa Ukraine keshapigwa makombora karibu ya aina yote sidhani kama Kuna silaha ambayo Mrusi hajaitumia Ukraine labda Nuclear tu ni muda muafaka na yy Aanzee kupokea kichapo ndani mwake maana Ukraine haina Cha kupoteza kwasasa.
Huo ni ujumbe tunaweza kuipiga Moscow na hivyo vidrone vilishafika kwenye paa la Kremlin unafikiri ni nini kinashindikanaHana ùbavu huo. Unatumia ñdege za gharama kwenda kuvunja vioo vinne na ndege kutunguliwa
Umejiuliza maswali ya kipumbavu sana!Huwa najiuliza.
1. Kama jeshi la Urusi lipo vizuri kivita kwanini Putin amekodi kikosi binafsi cha Wagner ambao anawalipa mamilion ya pesa kwa ajili ya vita?.
2. Jeshi lake Putin haliwezi kupigana vita mpk akodi?
Huu ni udhaifu mwingine wa Putin kwa maana hiyo hana mbinu ya kivita. Huu mwaka ukiisha bado bila bila inabidi akafanye mambo mengine
SawaUmejiuliza maswali ya kipumbavu sana!
Hiyo ni level ya juu kbs ya matatizo ya Afya ya akili.Huwa najiuliza.
1. Kama jeshi la Urusi lipo vizuri kivita kwanini Putin amekodi kikosi binafsi cha Wagner ambao anawalipa mamilion ya pesa kwa ajili ya vita?.
2. Jeshi lake Putin haliwezi kupigana vita mpk akodi?
Huu ni udhaifu mwingine wa Putin kwa maana hiyo hana mbinu ya kivita. Huu mwaka ukiisha bado bila bila inabidi akafanye mambo mengine
Watu walidanganywa kuhusu nguvu za Urusi, Urusi wa kawaida kabisa.Kwa sasa Ukraine wanajiligia popote, yale mapipa ya S400 Ukraine anayapasua sio kawaida.Kwa nchi yenye nguvu za kijeshi na intlijensia kama Urusi,kitendo cha anga lake kupenyezwa na hivyo vidrone na kwenda kivunja hivyo "vioo vinne" kama unavyodai,imeonyesha udhaifu wa Hali ya juu,Ina maana defensive mechanism yao Ina mianya mikubwa sana inayopenyeka,na kama Zellensky na jeshi lake wataendelea kuwa serious makubwa tutayasikia.
Sasa hivyo vidrone viwili vitatu vitabadilisha nini?
Kaipiga BELGOROD tu kidogo kwa kutumia mamluki wa Kirusi, Leo hii watu wapo kwenye mipango ya kuipiga Kharkov.
Mwambieni aache kutumia bwimbwi