Zelensky asema vita vinakuja nchini Urusi

Zelensky asema vita vinakuja nchini Urusi

kama una utimamu kichwan jiulize huu mwaka wa ngap Urusi anapambana Ukraine ? na hapo alizuiliwa kushambulia ndani ya Urusi , ukiona Putin anaanza sogeza manowali huko Amerika ujue hali si nzur huko mbeleni ndio maana anajihami kwa kiwatisha USA ila anasahau kuwa anaenda kuwafanya wale washabiki wake wa west waanze kumuona kama adui sasa
Nonsense
 
yaa hii vita ni ngumu sana kwa urusi kutoboa uzembe putin aliufanya mwanzo na sasa wameshamsoma Ato
 
Back
Top Bottom