Zelensky apinga kulitoa jimbo la Donbas huku Warusi wanasonga mbele na mapigano

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine itakataa pendekezo lolote la Urusi la kulitoa eneo la Donbas kama sharti la kusitishwa kwa mapigano, akionya kuwa linaweza kutumika kama chachu ya mashambulizi ya siku zijazo.

Zelensky alikuwa akizungumza kabla ya mkutano kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin huko Alaska siku ya Ijumaa.

Trump amesema makubaliano yoyote ya amani yatahusisha "kubadilishana baadhi ya maeneo" na inaaminika kuwa moja ya matakwa ya Putin ni kwamba Kyiv isalimishe sehemu za Donbas ambayo bado inadhibiti.

Wakati huo huo wanajeshi wa Urusi wameendelea na mashambulizi yao ya majira ya kiangazi, na kufanya msukumo wa ghafla karibu na mji wa mashariki wa Dobropillia na kusonga mbele kwa kilomita 10 (maili sita) katika kipindi cha muda mfupi.

Zelensky alikiri kwamba hatua hiyo ilifanyika katika "maeneo kadhaa" lakini alisema hivi karibuni Kyiv itaharibu vitengo vilivyohusika katika shambulio hilo.

Huku akipuuzilia mbali mafanikio ya Urusi kivita, aliongeza kuwa ni "wazi kwetu" kwamba lengo la Moscow lilikuwa kuunda "fursa ya habari fulani " kabla ya Putin kukutana na Trump kwamba "Urusi inasonga mbele, inasonga mbele, wakati Ukraine inapoteza".

"Ikiwa tutajiondoa kutoka kwa Donbas leo - ngome zetu, ardhi yetu, urefu tunaodhibiti - tutafungua wazi daraja kwa Warusi kuandaa mashambulizi," alisema.

===
Ukraine’s President Volodymyr Zelensky vowed on Tuesday not to give eastern Ukrainian land to Russia, saying that abandoning the Donbas region would open the door for Russian President Vladimir Putin to “start a third war” in Ukraine.

Zelensky’s warning comes ahead of Putin’s meeting with US President Donald Trump in Alaska on Friday, where the Russian president is expected to demand Ukrainian land as part of a peace deal.

While there is confusion over Putin’s reported conditions for a ceasefire, most versions stress that the Russian president will demand that Ukrainian forces withdraw from all parts of Ukraine’s Donbas, which includes parts of the Donetsk region it still holds.

Source CNN
 
Mkuu ukiona Source ni CNN, basi ujue hizo taarifa zimewekwa pale kimkakati kujaribu kumchota akili Trump na Team yake ili wakubaliane na Viongozi wa Ulaya mkutano kati ya Trump na Putin husifanikiwe.

Katika njama hizo wanatumia vyombo vya habari kijaribu kufanya hujuma, media ya CNN na viongozi wa EU, Uingereza na baadhi ya chama cha Upinzani cha huko Merikani ndio wanatumika katika njama hizi kwa kuwatia watu hofu kwa maneno ya kubuni/kuchonga tu Utawasikia wanadai eti "Viongozi wa EU na Uingereza na Zelensky" nao washirikishwe kwenye mkutano kwani wao ni akina nani na wana umuhimu gani??

Hata hawa muheshimu Trump, wanataka kumuburuza tu na kujaribu kumtia hofu kwamba Urusi ikifanikiwa Ukraine kusini Mashariki basi haitaishia hapo itataka kuteka bara zima la Ulaya na hakuna nchi itabaki salama - waongo sana hawa.

Binafsi nafikiri ndio maana Trump alihamua kufanya mkutano na Putin huko Alaska ambako ni mbali na bara la Ulaya hivyo anajua jamaa hawa hawataenda huko kumgasi gasi, lakini jamaa hawa hawakati tamaa wamekwisha itisha mkutano wao na waandishi wa habari kujaribu ku-pre empty mazungumzo ya Putin na Trump wanatumbukiza madai ya Zelensky ambaye wala hakupata mwaliko kwenye mazungumzo- kama nilivyo sema tangu mwanzo nia hasa ya jamaa hawa ni kujaribu kuleta vurugu ili mkutano husifanikiwe.

Kama mimi ningekuwa Trump ningeondoa majeshi yote ya Merikani Barani Ulaya na kuondoa msaada wote nchini Ukraine au wafanye maarifa ya kumuondoa madarakani Zelensky, bila ya kifanya hivyo nina wasi wasi kwamba hata WW3 inaweza kuzuka kwa bahati mbaya au kimakusudi.
 
This is really crap.
 
Back
Top Bottom