Uliaminishwa nanani!!?
Kama RUSSIA haina nguvu NATO inangojea nini kwenda kuisaidia UKRAINE kama ilivyosaidia RAIA pale LIBYA
ELENSKY kaomba sana waweke No Fly Zone kuyazuia madege ya RUSSIA yasivinjari kwenye anga lake ila NATO wakiongozwa na US wamemwambia hilo haliwezekani sababu tutakua tumetangaza vita direct na RUSSIA
Ukitaka kujua uwezo mkubwa wa RUSSIA waambie NATO watekeleze matakwa yakueka No Fly Zone kama anavyoomba KOMEDIAN
Maana kama kupeleka silaha hata RUSSIA alipeleka pale SYRIA nahaikutosha akapeleka na jeshi kabisaaa bila kusahau na VENEZUELA
Kama NATO hawatasikiliza matakwa ya Elensky yakueka No Fly Zone haitakua naubishi yakwamba nikweli kabisa RUSSIA ni Superb
VIKWAZO ndio nini VIKWAZO nisera iliofeli ya WESTERN pamoja na US wao nandio maana tokea RUSSIA alipoekewa vikwazo punde tu baada yakuanza SMO mpaka leo hvyo vikwazo vimesaidia nini vimefanya SMO iishe ama vimefanya RUSSIA ifilisike
VIKWAZO akaeke kwa ZIMBABWE ila kwamataifa yanayojitambua levo za IRAN nakuendelea hayana madhara
LIBYA aliingia na NATO yake akaingie na UKRAINE vikwazo havijaleta maana yeyote ile sababu SMO inaendelea na itaendelea mpaka malengo yafikiwe
US na NATO paper Tiger.....

US says Russian economy showing "certain resilience" to Western sanctions as a result of Moscow's moves, the White House says
Hv ndio vikwazo unavyoviongelea ama kuna vyengineee