Nimempa tunda ‘mubaba’, sasa yamenikuta

Fifi Moto

JF-Expert Member
Jul 24, 2023
485
1,382
Mi nimekoma..UMALAYA UMALAYA UMALAYA UMALAYA
utatuua.

Basi mi nilikuwa nafanya kazi kwenye stationary ya mtu na hapo stationary kuna M-Pesa. Basi kuna mubaba akawa anakuja kutoa hela mara atoe laki 7 mara laki 4 yaani haipiti siku mbili anakuja. Baadae akaanza kuniachia elfu tano elfu kumi kuwa ni keep changemara aseme mabinti nyie mnahitaji matunzo sana.

Sasa na mimi na kichwa changu kama koleo iliyovunjika si nikaona hapa ndo penyewe maana nilisikia wababa wanatunza nikaona weee lazima na mimi nimiliki I phone ata I phone 2basii NIKAWA najichekesha kama fisi. Akaongeza maokoto mara aniachie afu ishirini basii mi nakenuka tu limdomo.

Basii mubaba akanitongoza nikakubali, tukaenda kama mwezi anipa maokoto tu. Si akasema hawezi kuendelea kuweka pesa kwenye benki iliyofungwa, nikaona kwani nini ngoja nimpe kadudu.

Basii siku hiyo nikaenda kununua vipipi utamu na urimbo maana nilisikia hivo vitu ni fire. Nawaambia nikatumia, basi nikakutana na yule mbaba nilidinywa hadi kitu ikawa inawaka kama volcano mzee yule ule sio mguu wa mtoto ni mguu wa kikongwe; mweusi umekomaa sasa ikisimama kama mstimu mpya.

Baada ya kutoka pale shogaenu nawashwa kwenye k hadi najikunia mswakiyaani nasugua kama nasugua meno. Nimeenda hospital wamesema fangasi nimejibu lakini wapi nae yule mzee anasema kadudu kanamuuma kama kamevunjika tangu akutane na mimimie ndo niko hoi KWA muwasho.

Naombeni dawa ya asili nyie, kitaoza kidudu mwenzenu nishindwe kudinyana.

Kwa MAELEZO zaidi:

Screenshot_20230504-231319_Quora.jpg
sawa tumekuelewa mtaalam thotimus prime.
Katafte mti ulio na tawi lililochongoka uwe unaupanda unajikunia
 
Mi nimekoma..UMALAYA UMALAYA UMALAYA UMALAYA
utatuua.

Basi mi nilikuwa nafanya kazi kwenye stationary ya mtu na hapo stationary kuna M-Pesa. Basi kuna mubaba akawa anakuja kutoa hela mara atoe laki 7 mara laki 4 yaani haipiti siku mbili anakuja. Baadae akaanza kuniachia elfu tano elfu kumi kuwa ni keep changemara aseme mabinti nyie mnahitaji matunzo sana.

Sasa na mimi na kichwa changu kama koleo iliyovunjika si nikaona hapa ndo penyewe maana nilisikia wababa wanatunza nikaona weee lazima na mimi nimiliki I phone ata I phone 2basii NIKAWA najichekesha kama fisi. Akaongeza maokoto mara aniachie afu ishirini basii mi nakenuka tu limdomo.

Basii mubaba akanitongoza nikakubali, tukaenda kama mwezi anipa maokoto tu. Si akasema hawezi kuendelea kuweka pesa kwenye benki iliyofungwa, nikaona kwani nini ngoja nimpe kadudu.

Basii siku hiyo nikaenda kununua vipipi utamu na urimbo maana nilisikia hivo vitu ni fire. Nawaambia nikatumia, basi nikakutana na yule mbaba nilidinywa hadi kitu ikawa inawaka kama volcano mzee yule ule sio mguu wa mtoto ni mguu wa kikongwe; mweusi umekomaa sasa ikisimama kama mstimu mpya.

Baada ya kutoka pale shogaenu nawashwa kwenye k hadi najikunia mswakiyaani nasugua kama nasugua meno. Nimeenda hospital wamesema fangasi nimejibu lakini wapi nae yule mzee anasema kadudu kanamuuma kama kamevunjika tangu akutane na mimimie ndo niko hoi KWA muwasho.

Naombeni dawa ya asili nyie, kitaoza kidudu mwenzenu nishindwe kudinyana.

Polee
Usijikune na mswaki
Usifanye mapenzi hadi hio hali iishe
Usipanic, sio tatizo kubwa sana, inawatokea mabinti wengi hio shida.
Hio part ya story yako ulivoenda hospital ebu iweke vizur, haieleweki
Ndo mara yako ya kwanza hio hali kukutokea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom