A
Anonymous
Guest
TANROADS wanajisahau sana kuhusu alama za wavuka kwa Miguu ya PUNDAMILIA/ZEBRA, zimefutika kiasi kwamba sasa zimekuwa chanzo cha ajali.
Changamoto hiyo ipo sana maeneo ya Barabara ya Bagamoyo, mfano Kituo cha Kibo Complex Tegeta, Boko Basihaya, Boko magengeni, Bunju Center ndio hakuna kabisa alama za zebra.