Abbassalum JF-Expert Member Joined Dec 11, 2016 Posts 338 Reaction score 177 Mar 9, 2017 #21 chief1 said: Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku Click to expand... π π π π π π
chief1 said: Naona mmeamka na makucha yenu Yani unaamka asubuhi unaanza kujadili watu kwa ubaya Hamna tofauti na kuwanga usiku Click to expand... π π π π π π
M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,103 Mar 9, 2017 #22 Wengine wameamua kujivika uchungaji ila sujui kwanini watu wa Nyanda za juu kusini wanaona dini kama sehemu pekee ya kujiajiri
Wengine wameamua kujivika uchungaji ila sujui kwanini watu wa Nyanda za juu kusini wanaona dini kama sehemu pekee ya kujiajiri
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,189 Reaction score 1,324 Mar 9, 2017 #23 Katika hawa wote atakaeanza kuchoka atakua wa kuvanga
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,905 Reaction score 42,074 Mar 9, 2017 #24 Step by step said: Katika hawa wote atakaeanza kuchoka atakua wa kuvanga Click to expand... Kwa nin umemtaja huyo mkuu
Step by step said: Katika hawa wote atakaeanza kuchoka atakua wa kuvanga Click to expand... Kwa nin umemtaja huyo mkuu
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,189 Reaction score 1,324 Mar 9, 2017 #25 ukhuty said: Kwa nin umemtaja huyo mkuu Click to expand... Wenzake kina masanja, joti na mpoki majina yao makubwa yeye na kama alikua anasafiria nyota zao
ukhuty said: Kwa nin umemtaja huyo mkuu Click to expand... Wenzake kina masanja, joti na mpoki majina yao makubwa yeye na kama alikua anasafiria nyota zao