Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
imefikia muda hata watazamaji ikifika saa moja tu, wanatune eatv...
kweliii eeh?
Kwangu wote hovyo tu. Kuchekesha sio mpaka uvae hovyo hovyo au kubadili lafudhi.
kweliii eeh?
Kwangu wote hovyo tu. Kuchekesha sio mpaka uvae hovyo hovyo au kubadili lafudhi.
Lakini hata wakihama bado naona eatv wamejipanga sana na wanaweza ibua makomedia wengine,ila tbc mmmh hawana ujanja wao na clouds sawa sawa
Ile IPP ni Academy, inaibua vipaji ili wavitumie wao pamoja na wengine,ndo maana utakuta kuna watangazaji wengi wazuri wamejifunza kazi pale na sasa wanafanya vizuri kwingineko.Aise...kumbe mambo ndio yako namna hiyo. Sasa akitokea mtu akawanyakua akina masanja pale tbc, basi no comedy at all maana tbc hawana ubunifu, kazi yao ni kuiba waliokwisha pikwa na steshen zingine...
hapo sikubaliani kabisa.nimekuwa mfuatiliaji wa hivi vipindi viwili lakini kamwe hawa wa eatv hawataweza kuwafunika wa tbcKwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa kasipale EATV, akina Mtanga na Bambo. Hawa jamaa wa EATV wanachapa kazi si mchezo. WanaJF mnaonaje?
Ni kweli kuwa TBC hawajajipanga na comedy kwa kuwa suala la akina Masanja kwenda TBC lilikuwa kishabiki zaidi. Hata hivyo TBC wana mawazo mengi ya kibiashara na kimaboresho. Ukiangalia kutoka TVT hadi TBC kumekuwa na mabadiliko makubwa sana. Angalia vipindi vyao na Graphics zimeboreshwa. Ila suala la comedy mbadala unakuwa mgumu sana. EATV pia watakuwa na shida kupata mbadala. Hata akina Bambo si mbadala muafaka. Walichoangalia actually si kufanya comedy ila ni kuwa na tukio litakaloaminika kutazamwa na wengi na kisha kuvuta matangazo (biashara).
Clouds ni namba nyingine Mkuu. Nakerwa na tabia yao ya ki-CCM CCM. Naichukia CCM. Ila Clouds wana uwezo mkubwa kuibua vipaji. Angalia watu waliopitia Clouds Jide, Fina, Masoud, Amina, etc. Angalia ambao bado wapo. Angalia matamasha. Angalia clouds TV, vipindi na graphics. Angalia talents na bidii za viongozi Ruge na Kusaga. Angalia investments na initiatives zao zingine. Nauchukia u-CCM wao, napenda bidii zao.
sioni kama ni wazuri unless tunaingi siasa za EATV na TBC