Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Askari mmoja huko mbagala alimpiga mwenzake risasi ya sehemu za nyuma huku ikimuumiza na yeye mkononi.
sasa tuseme huyo askari hakufundishwa jinsi ya kutumia hii silaha au ndio mara yake ya kwanza kuishika? manake angekuwa ameshika bomu yangekuwa maafa makubwa zaidi.

Last edited: