Ama kweli mbweha hawezi kufunga domo lake hadi apewe mfupa badala ya nyama. kakke amechoka. Vyeo vyooooote ambavyo wazanzibar wanapewa huku tanganyika ni kazi bure. Ardhi yoooooote waliopewa wazanzibar huku tanganyika ni bure na fursa zooooooooooote wanazopewa huku tanganyika ni useless. ushauri, iwepo kura ya maoni kwa tanganyika na zanzibar juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa muungano wa tanganyika na zanzibar. Bila kufanya hivo viongozi wetu mlioko madarakani mnatuumiza na hasa kutokana na shukrani za punda wazitoazo wazanzibar. Aafu mi naona wanatuumiza na kutunyonya kwa sababu tunawalea kama yatima kwanini ?