Tized uko wapi aise umwambie utafiti kuwa binti yake anachuna mabuzi humu ndani mara kwa gwijimimi mara kwa Ntuzu mara kwa Mr Rocky mara kwa binamu nyama ya hamu Bulldog
Yani mtoto hatulii kila mtu anaambiwa honey kwa wakati wake na anachunwa kwa wakati wake
Mke wangu kipenzi Dena Amsi uko wapi njoo huku kuna katoto kalikuwa kanataka kunidanganya hapa na weupe wake ila nimekashtukia kuwa hakafai ni mapepe Ntuzu nakuachia miss chagga aise mpambane na gwijimimi huu mchanganyiko siuwezi aise

haaaaa shem! hakuna kitu ni watu wanaonichafulia jina langu hapa
jamni mimi mwee Mungu anipe nini tena loh,... asante sana unataka nikufanyie nini?
Nipe chochote utakacho ambacho sitakisahau
Nishashtuka aise miss chagga hapa naona kfaransa tuu wakati mimi sikijui
Haya maneno anaambiwa gwijimimi mara yanageuzwa anaambiwa Ntuzu mara yanageuzwa anaambiwa Mr Rocky sasa yupi ni yupi na no one ni nani hapa
Nisijejikuta mimi ni no 100