kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,066
- 1,535
Eid Mubarak Watanzania wote!
wakati tunaendelea kumeza matonge ya pilau pamoja na kunywa maji marashi basi tusijisahau saaana tulikotoka , tulipo na tunapokwenda ....
soma ripoti hii na kwa msaada wake mtume Mohammed SAW tuchukue hatua!