habari zenu wana jf,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe zawadi ya box la condom na rafiki wa kiume urafiki wa kawaida i mean hakuna cha bf/gf kati yenu,wewe ungeichukuliaje zawadi iyo,i need your thouts plz
kwaio mpenzi hawezi kukujali kama alivyofanya rafik?
anatania nin?nieleweshe
anataka mkaunganishe vikojoleo
Habari zenu wana JF,nina swali dogo linanitatiza,ebu imagine we ni mwanaume na unarafiki wa kike(namaanisha urafiki wa kawaida kabisa) akakupa zawadi ya box la condom au viceversa mwanamke apewe zawadi ya box la condom na rafiki wa kiume urafiki wa kawaida i mean hakuna cha bf/gf kati yenu,wewe ungeichukuliaje zawadi iyo,i need your thouts plz
kama ni wahudumu wa afya sioni tatizo.........