Zawadi ya 5000 kwa mshindi.

Zawadi ya 5000 kwa mshindi.

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
1,781
Reaction score
6,138
Tegua Kitendawili Hiki Ili Tuone Kama Unaweza Kufikiri Kwa Makini. Kinasema:
"Mimi Niwakwanza Dunian Na Wapili Mbinguni, Huwa Natokea Na Kuonekana Mara Mbili Kwa Wiki, Lakin Waweza Kuniona Mara Moja Tu Kwa Mwaka Japokuwa Nipo Katikati Ya Bahari. Je Mimi Ni Nani?"
Tafadhali Naomba Nitumie Jibu Haraka.
 
5000 inaenda hyo. Mwisho saa 12 jioni. Changamkieni saba saba hyo.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1373197429092.jpg
    uploadfromtaptalk1373197429092.jpg
    13.8 KB · Views: 521
Tegua Kitendawili Hiki Ili Tuone Kama Unaweza Kufikiri Kwa Makini. Kinasema:
"Mimi Niwakwanza Dunian Na Wapili Mbinguni, Huwa Natokea Na Kuonekana Mara Mbili Kwa Wiki, Lakin Waweza Kuniona Mara Moja Tu Kwa Mwaka Japokuwa Nipo Katikati Ya Bahari. Je Mimi Ni Nani?"
Tafadhali Naomba Nitumie Jibu Haraka.

jibu ni herufi E.

duniani-Earth
mbinguni-hEaven
kwa wiki-wEEk
kwa mwaka-yEar
etc etc....
 
Sio anasogea hta mm naona hilo ndo jibu sahii. Mpe chake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kama unasogea sogea hv. Ebu ngoja mwingine aje tuone..🙂

jibu ni herufi E.
wa kwanza duniani-Earth (herufi E ni ya kwanza)
wa pili mbinguni-hEaven (herufi E ni ya pili)
mara mbili kwa wiki-wEEk (herufi E ipo mara mbili)
mara moja kwa mwaka-yEar (herufi E ipo mara moja)
katikati ya bahari-sEa (herufi E ipo katikati)
 
Sio anasogea hta mm naona hilo ndo jibu sahii. Mpe chake

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Hahahaha Ananibania,najiandaa kufungua mashitaka kwa moderators maana atakuwa anaudanganya umma.
 
Yaani umebadilisha maana yake baada ya kutranslate kutoka English kwenda kiswahili
 
Hahaha😀 Usifanye hvyo bwana. Tutamalizana tu kaka. Wewe tena!!!
 
Ha ha haaaa. Nliwah kutumiwa kwa msg hiki kitendawili lkn kilinishinda
 
Ahad ni den mwambie ajue hilo

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
mi nimeipenda hiyo simu inayotapika dolari niuzie tafwazali mr. Samson Cyper
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom