Zawadi kwa mwanaJF

Zawadi kwa mwanaJF

Weee usimtaje hivo hivo maana mkweo nipo apa natizama shauri yako....

Hivi huyu jamaa yangu life is Short yuko wapi? Au kaenda kuvuna tende lol?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Nilisubiri uione nikupe funguo umpelekee....huyu ndo mkwe waukweli
 
Last edited by a moderator:
hiyo ukiipeleka njia ya Tunduru-Songea inatembea miezi sita tu kwisha habari yake
 
Ukikaa kwenye seat, kwa muda unasahau taabu na makandokando yako mengine!
 
Back
Top Bottom