Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,306
- 3,228
Shule ziko nyingi au umenifaham mkuuShule gani na mwaka upi!
Matukio ya maisha yako mengi mkuuDuuh!!! Wewe kila siku huishiwi story muheshiwa [emoji119]
[emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Itakuwa vizuri tuwape 1&2 wadogo zetuNitagonga kengele kabxa tuweke parade kwa ajili ya kuwaasa wadogo zenu wasipite njia mlizopitia Kwan mlifanya hadi nikawa na uhasama na waalimu wenzangu....nitangulize shukran za dhati kabixa....nipo kuzisubiria
Inawezekana mmoja wa hapo akawa ndo yeye
Hongereni wakuu,Based on true story
Nakumbuka wakati tuko form 3 na 4 class letu lilikuwa linaongoza kwa sifa mbaya za utoro.umalaya hasa watoto wa kike,wizi,kwenda kuiba vitu kwenye mashamba ya walimu,bangi,watoaji mimba,viburi na wazee wa kula hela ya Ada...