Heargy da Best
Member
- Jun 23, 2015
- 48
- 10
Sasa kama hatuna uhusiano unaanzaje kuniletea hiyo chupi kwafano?
usiache mkuu, endelea kumpelekea zawadi maana alitaka. next time mpelekee cheni ya kiuno au shanga za kimakonde afu uone itakuwaje

Sasa kama hatuna uhusiano unaanzaje kuniletea hiyo chupi kwamfano?

sasa c umelilia zawadi Valentine Unatrgemea akuletee zawadi gani au hujasikia ule msemo kuwa zawadi ni zawadi
Kuna ubaya wa wewe kuletewa chupi?
kuna m.ke mmoja hivi alikua kila akiniona ananidai zawadi hvyo cku moja nikamletea zawadi ya chupi...na tangu cku hyo nilipompatia hyo zawadi haniulizi tena kitu. Swali, hivi kina dada mnakua mnajisikiaje pale m.me ambae hana uhusiano wa kimapenzi anapokuletea zawadi ya chupi?