Zawadi kwa mpenzi...

Una uhakika mpenzi wale yuko na CD player?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akhirisha mipango yako ya uzinzi,ebo! Huyo ni mtoto wa mwanamme mwenzio anayekuzidi umri,mwenye matarajio mazuri ya kumuozesha mme mwema,atakaye tambuliwa nyumbani kwao. Peleka posa,umuowe. Usitangaze tena hapa mipango yako ya bakshishi ya uzinifu,na kujizolea likes za wazinzi. **** Mola tusamehe kwa kuunga mkono mipango ya wazinzi. Nyoote semeni,Aaamin.
 

Faza muulize kwanza ako kabinti kanatokea mitaa gan,ayo mambo ya cd mtoto wa uswahilin usijeishia kutukanwa bure ayo mambo ya cd yana watu wake!
 
Kwa sisi wapenda zawadi hata hiyo ya buku 5 inafaaa, hivi unajua ni kiasi gani ukimpa mwanamke zawadi hata kama ndogo anavyoithamini? Kitendo cha kuwaza kumnunulia zawadi ni upendo tosha. kama unajua size yake mnunulie Simple shoes, au saa au perfume , simu, etc. God bless u mdogo wangu
 
Mkuu njoo taratibu mbele kuna kisiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#luckyline Yaan we nimekupenda bure kwa maana unajua maana ya mapenzi, chakushangaza nimemnunulia viatu vya 3000 na leo hii ndo kavivaa takiribani week 2 tangu nimnunulie na mapenzi ndo naona yameshika kasi [emoji180]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…