Zari katika hijabu

Zari katika hijabu

Dah! Zari saa zingine sura yake kama mchoro kumbe ndo kitu live!
 
Utamu gani bwanaaaa mtu keshatotoleshwa mara 3 yeye kamtotolesha wa 4 kuna utamu gani hapo..
Mwanamke aliezaa Ni mtamu zaidi kuliko ambaye hajazaa, uliza wanandoa, . . . . Upo hapo
 
Hivi ni kwanini vijana wanawapenda wanawake waliowazidi umri mkubwa.
Au walioko kwenye ndoa.
Yaani natamani kujua kuna nini hapo kilichojificha.
Umri mkubwa wana busara kuliko wadogo, wadogo wanapenda show off
 
Back
Top Bottom