Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Umbea wenu umekolea. Muacheni binti wa watu apumue jamani. Ndiyo maana mimi ni star lakini sitaki kujulikana maana watu wanafahamu kufake mambo ya uongo yakawa ya kweli. Na Diamond akiwasikiliza atavunja mahusiano na akivunja Zari nitamuoa mwenyewe. Mark my words