seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
zari all white party ni show ambayo inahudhuriwa na baadhi ya mastar wakiwamo 1.Godfather 2.Top ten ya washindi wa big brother africa,na wengine wengi kibao,je kwa upande wako ww unazungumziaje show hiyo itakayo fanyika mei mosi