The Monk Platinum Member Oct 12, 2012 20,187 45,766 May 21, 2016 #2 Mh! Hivi kisamvu hakiwezi kutengenezewa sukari?
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 May 21, 2016 #3 Kisamvu mboga ya makaburini...
Dr.adams faida JF-Expert Member Mar 11, 2013 1,874 3,306 May 21, 2016 #5 Kisamvu huwa tunajichumia bure cc wajanja"
La Pronto JF-Expert Member Mar 20, 2013 969 1,155 May 21, 2016 Thread starter #7 Hcho cha kopo me ckijui Nakifaham kile kinaliwà na wali, hasa kikiwa cha jana Hataree!
nsanzu JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,636 5,335 May 21, 2016 #8 Kiukweli kuna mambo yanakera mno. Hapo utakuta alikuwa anajibana maji apate ya kumwagilizia kisamvu chake. Kimestawi vizur, jamaa kapita nacho
Kiukweli kuna mambo yanakera mno. Hapo utakuta alikuwa anajibana maji apate ya kumwagilizia kisamvu chake. Kimestawi vizur, jamaa kapita nacho
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 22, 2016 #9 Usedcountrynewpipo said: Kisamvu mboga ya makaburini... Click to expand... Ni kwa wewe