VANILLA Ni zao namba moja kwa kuzaa sana na kuuzwa Bei kubwa kuliko mazao mengine, kilo moja ya vanilla kavu inauzwa shilingi 1,500,000 hadi 2,000,000. Kilo moja ya vanilla mbichi Ni sh 220,000 hadi sh 800,000 na Mche moja wa vanilla unazaa Hadi kilo 15 za maharage ya vanilla. Vanilla hutumika...